MENU

Killy - Mwisho (Song Lyrics)

ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee,
kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee
ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee

Mwisho (Song Lyrics) - Killy

ukweli mama unauficha tena unaniruka kando
usijitetee,ajali kila kukicha x wako yanamtoka mafumbo ili unipotee,
kweli mnatumiana picha tena anakuunganisha bundle ili mnitetee
ndo maana havikauki visa au labda nijirudishe jando nkajitetee
(aaaah)
kumbe kimya kimya anachachua maana unavyomsifiaga kwa insta
unaniona kima unajichetua eti nlikulazimishaga unapita,
umenizima umenibidua sidhani hata ka nshakunjaga aah ndita,
nishakupima nimekugundua na hili nlishalipigaga aah vita

chorus:
hakuna marefu yasiyo na aaaah mwisho mwisho ooh
(lololo aah...!!)

yani bora tufanye iwe mwisho mwisho ooh
(tusiendelee aah....!!!)
basi nimeshindwa mie mwisho mwisho ooh
yani ni bora iwe mwisho (mwisho mwisho oooh) aah mwiiiiiiiiiiiii..

verse 2:
maumivu moyo wangu una maumivu uuuh vidonda
(aaah aaaah aaah aaaaaah)
mwili umepatwa na uvivu
penzi limegeuka majivu uuuh nahisi kukonda
(aaah aaaah aaaaaah)
(iyee eeh eyeeeh aah..!!)
eti tufe tuzikwe wote
yani hukudhamiria chochote

nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbieeee
nakuridhisha ma nakupa vyote
kweli nahudumia cha wote
basi we batili batili picha zisinirudieee ooh bebe